Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
KIVIPI NJOMBA?Leo nimeupdate app yangu ya jf. Aisee nimeifurahia balaa. Hawa jamaa wataenda mbali. Nashauri iwe kema whatsap ama telegram
Hosee naona siku hizi umeacha ile nafasi ya kwanza umegeukia mipasho sasa![emoji23]eti iwe kama whatsapp na telegram...
Kweli wewe jini kisirani [emoji451][emoji89][emoji88][emoji84][emoji83][emoji49][emoji48]
Aaah hamna mkuuHosee naona siku hizi umeacha ile nafasi ya kwanza umegeukia mipasho sasa![emoji23]