Sijawahi mkuu, unaweza kuniunganisha na mhusikahave you tried front accounting?
tHL AccountingHabari wakuu,
Kama heading inavyosema, please mwenye hiyo app niPM au kama unajua chochote kuhusu hii App please share hapa.
Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni open source system unaidowload unaiset tu kwako, setting yake ni dakika chache tu FrontAccounting - Welcome to FrontAccounting , you can also get an expert akakufanyia settings tu ni few minutes and free
Shilingi ngapi unauza?