App ya kupokea Wageni toka Nje (Couchsurfing) : Hivi ndivyo ninavyopokea wageni na kutengeneza pesa

Wengine Tupo mikoa ambayo haina vivutio sijui itakuaje

lakini pia Nikihitaji muongozo wako nafanyaje?

Si kweli.

Tourist sites siyo lazima iwe mbuga za wanyama au mlima mrefu.

Inabidi ufungue akili yako uone mbali.

Utalii unaweza kuwa wa aina tofauti.

1 • Mambo yakitamaduni kwenye mji/kijiji unachoishi.

2 • Sehemu zenye miti (msitu) kwaajili yakufanya hiking.

3 • Kutembelea watu wanaotibu maradhi kwa njia za asili

4 • Kutembelea kwenye masoko au minadani

5 • Mambo yote yanayohusu vyakula vya asili

Mkuu acha uboya unasemaje eti wewe unakaa sehemu isiyo na vivutio vya utalii?

Niandikie makingmoneyonlinetz@gmail.com
 
Mmmh! Lubaba, hayatanitokea puani huko mbeleni ya kuambiwa nimetakatisha watalii?

Hapana.

Hii ni opportunity nzuri kwa vijana na wote wanaopenda kupokea wageni na kuengeneza some cash [emoji383]

Hizi kazi zitakusaidia kuwa creative.

Trust me.

Ukiwa vizuri unaweza kufungua kampuni.

Leo umekutana na mgeni amependa idea yako anaingiza pesa mnapiga kazi.

Inabidi uchangamke mkuu.
 
GLOBAL CITIZEN,
Is it legal in our country? Maana siku hizi kwenda jela kwa sababu fupi fupi kupo nje nje. Kwamba napokea fedha lakini silipi kodi
 
Is it legal in our country? Maana siku hizi kwenda jela kwa sababu fupi fupi kupo nje nje. Kwamba napokea fedha lakini silipi kodi

It is legal.

Wewe umeona wapi kupokea mgeni nyumbani kwako ikawa ni illegal?

Hawa wageni wameshakamilisha taratibu zote zakuingia nchini.

Lakini pia mgeni akisema umpeleke akaone sokoni na wewe akakulipa $10 sasa hapo kodi ya nini?

Mkuu acha woga.

Watu wa TRA wanakucheka hapa
 
Nimeshawahi fanya na Airbnb nilipata hela, baadae mambo yaliingiliana, changamoto za maisha. Mwenye nyumba alinikatalia pia kuleta wageni kila siku, ila ntarudi tena soon

Vizuri.

Pia mimi nafanya AirBnB Business since 2016

Nitakuja na uzi hapa soon.
 
Hayo mengi ndugu yangu, nenda kwenye hiyo site uipitie taratibu tu utaielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…