Ibn Algherey
New Member
- Nov 29, 2023
- 3
- 2
Hizi App zimekuwa ni changamoto kwa jamii hasa unapopata shida ukikopa kwao ujue umejiingiza kwenye mtihani
Moja ya changamoto zinazoikumba jamii au watu wanaokopa ni kulazimishwa kulipa deni kabla ya wakati wake na huwa wanatumia vitisho vingi sana hata ukiwaelewesha juu ya tarehe sahihi ya kulipa ila ni ngumu kukuelewa.
Wanaingia kwenye contact zako wanaanza kupigia watu japo BoT wametoa muongozo ila bado changamoto iko palepale, nadhani hata BoT hawafuatilii kujua kama muongozo unafuatwa au la.
Watuambie wapi uende au upeleke wapi hizo changamoto za uzalilishaji ili sheria ifuatwe.