App zaidi ya 50 zimefungiwa Tanzania

App zaidi ya 50 zimefungiwa Tanzania

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Kuna app zaidi ya 50 zimefungiwa nchini Tanzania na benki kuu ya Tanzania ambazo zinatoaga huduma ya mikopo kwa Watanzania kwa mfumo wa kidigitali.

Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of CHINA IMEFUNGUA HOSPITAL YA_20241121_175318_0000.png


BOT imebaini kuwepo kwa app zinazojihusisha na utoaji wa wa mikopo kwa mfumo wa mtandao bila kuwa na leseni au idhini toka benki kuu ya Tanzania.

2_20241121_174930_0001.png


Hali hii inahatarisha usalama wa Wateja na ustawi wa sekta ya kifedha kwani majukwaa haya yanashindwa kutimiza matakwa na muongozo wa watoa huduma ndogo za masuala ya kifedha kwa daraja la 2 mwaka 2024.

4_20241121_175221_0000.png


App izo zinaonekana zina changamoto kwenye maeneo kadhaa 👇
🌨️ Utoaji wa huduma zao
🌨️ Utozaji wa Riba
🌨️ Mfumo wanaotumia kukusanya madeni
🌨️ Pamoja na usalama wa kulinda faragha binafsi za Wateja wao.

5_20241121_175221_0001.png


6_20241121_175221_0002.png


Benki kuu zimefungia izo app kwani wanatoa huduma bila kibali, inatoa wito kwa jamii , umma na wadau wote kuweza kuzingatia sheria, taratibu zilizowekwa ili kulinda haki za Wateja na kuhakikisha sekta ya fedha inafanya Kazi kwa uwazi na mas
lahi kwa wote.
 
BOT mnalipwa mamilioni link mnaweka text? Haya nimetumiwa screenshot au printed document, naifunguaje? Unaweza kutype hiyo link?

Wekeni QR code badala ya text link.
 
Wanaodai ama kudaiwa wanasaidikaje baada ya app hizo kufungiwa kuendesha biashara TZ?
 
Wafunge kabisa , haya ma app hayafai.

Mtu unakaa unashangaa umepigiwa simu huna habari eti ulimdhamini mtu.
 
Back
Top Bottom