M Mdau tu Member Joined Jun 8, 2024 Posts 22 Reaction score 22 Dec 13, 2024 #1 Ukitaka kutengeneza application unatakiwa ujibu maswali mangapi kupitia iyo app Yako unayotaka kutengeneza na kujiridhisha kwamba inafit
Ukitaka kutengeneza application unatakiwa ujibu maswali mangapi kupitia iyo app Yako unayotaka kutengeneza na kujiridhisha kwamba inafit
M Mdau tu Member Joined Jun 8, 2024 Posts 22 Reaction score 22 Dec 13, 2024 Thread starter #3 Namnanisha maswali gani common huweze kuyajibu
King Evance programmer Member Joined Jul 5, 2024 Posts 20 Reaction score 58 Dec 13, 2024 #4 Mdau tu said: Namnanisha maswali gani common huweze kuyajibu Click to expand... 1::Kuna demand ? 2:Ina provide value gani kwa watu? 3:Unaeza kushindana na competitors wako/ uniqueness yako kwenye market. 4:Unaweza kumonetize vp (ukichana na ads)? *Etcetera
Mdau tu said: Namnanisha maswali gani common huweze kuyajibu Click to expand... 1::Kuna demand ? 2:Ina provide value gani kwa watu? 3:Unaeza kushindana na competitors wako/ uniqueness yako kwenye market. 4:Unaweza kumonetize vp (ukichana na ads)? *Etcetera