Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wapi evidence ya madai yako? Wapi pameandikwa kwamba KQ ilikuwa ikamatwe kwa kutolipa deni? KQ sio Atcl inayokamatwa kamatwa South Africa na Canada.
Imekataliwa kubeba abiria kutokana na madeni!Wapi evidence ya madai yako? Wapi pameandikwa kwamba KQ ilikuwa ikamatwe kwa kutolipa deni? KQ sio Atcl inayokamatwa kamatwa South Africa na Canada.
Hakuna shida. Kuanzia wakati corona ilipozuka, KQ imekuwa ikibadilisha baadhi ya ndege zake kuwa cargo freighters. Kwa hivyo hio Boeing 787 itabeba mizigo tu na maisha yataendelea tuImekataliwa kubeba abiria kutokana na madeni!
Its a cargo freighter. Kq converted some of its dreamliners and 737s into cargo planes during the pandemic. Ujamaa low iq nonsense.
Hahaha. Hata mimi nashangaa. Ndege itapaa angani vipi bila kupewa idhini ya kufanya hivyo na nchi husika?How does a flight escape? Please illustrate how that is possible, with a drawing I beg, so as to avoid any further confusion.
Mbona pilot wa air Tz aliiba ndege from your airportHahaha. Hata mimi nashangaa. Ndege itapaa angani vipi bila kupewa idhini ya kufanya hivyo na nchi husika?
I meant the escape part, as in literally. A plane or flight evades seizure or capture. A cattle rustler, bandit or a pilot escapes...Hahaha. Hata mimi nashangaa. Ndege itapaa angani vipi bila kupewa idhini ya kufanya hivyo na nchi husika?
Kizeree iko siku utakuja kuzua baa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akijibu hii mniambie😅How does a flight escape? Please illustrate how that is possible, with a drawing I beg, so as to avoid any further confusion.