Apparently hypocrite Kenya ordered the COVID Organic from Madagascar

I thought Covid organic is for Kinjekitile!?stupid and hypocrites!
 
The herbal tonic for real.
Who can deny it?
 
May 18, 2020
Ugweno, Mwanga
Tanzania

Kama wanaona Madagascar ni mbali wavuke mpaka wafike Ugweno, Mwanga mkoani Kilimanjaro Tanzania wapate mitidawa hii kiboko cha pneumonia na corona.


Source: Mwananchi digital
 
We are not fools like Danganyikans.
 
Hii kitu si ilisemwa hadharani kwamba tutaagizia sampuli za hizo dawa kutoka madagascar, kwa ule mkutano wa marais wa nchi za Africa Kenya ilielewana na nchi zote za Africa kwamba hio dawa ichunguzwe kama inatibu kweli ? Hebu niambie how are we hypocrytes in this?

Dawa tuli order na zikaanza kufanyiwa medical trials na Kemri, mpaka sasa Kemri hawajatangaza kama wameona inatibu, mbali na hilo Kemri pia ina test dawa toauti za kutoka nchi kadhaa ikiwemo moja ya kutoka China, na nyengine ya Germany..... Hizo dawa zote hazijafanyiwa ma propaganda ya PR wakati tulikua tunazipokea, sasa mbona mnataka hii ya madagascar tungeifanyia PR tukiipokeakabla hatujaipima kama kweli inatibu?
 
evidence? Na kelele za kuidhihaki Tanzania kwa media mlitoa wapi? BTW corona infection imegonga ngapi huko? 10,000? Seems by September mtakuwa 50,000 plus!
 
evidence? Na kelele za kuidhihaki Tanzania kwa media mlitoa wapi? BTW corona infection imegonga ngapi huko? 10,000? Seems by September mtakuwa 50,000 plus!
Ckuelewi ujue! Unataka wenzako wafariki ili ufaidike n nini cha ziada? Huu uhasimu wa kimaendeleo ni mzuri, unatufunza vitu vingi sema ninaomba tufikirie kabla hatujaropoka chochote. Comments nyingine ni hasi, sio nzuri haswa Kwa majirani. Kenya ni majirani wazuri Sana kwetu. Tusivunjiane, tusijishushe heshima
 
evidence? Na kelele za kuidhihaki Tanzania kwa media mlitoa wapi? BTW corona infection imegonga ngapi huko? 10,000? Seems by September mtakuwa 50,000 plus!
----------------------------------------------------------------------
President Uhuru Kenyatta was part of a teleconference call involving 10 African Heads of State that discussed the adoption of Covid-19 organic medicine.
The meeting on Saturday, May 2, was held to discuss in detail the efficacy of the Covid Organics Medicine(CVO) that was developed by Madagascar in treating Covid-19 patients.


Presidents present in the meeting were, Cyril Ramaphosa (African Union Chairperson and South Africa), Abdul Fatah El Sisi (Egypt), President Felix Tshisekedi(DRC), President Uhuru Kenyatta (Kenya).

Paul Kagame (Rwanda), Ali Bongo (Gabon), Mahamadou Issoufou (Niger), Idris Derby (Chad), Boubacar Keita (Mali) and Andry Rajoelina (Madagascar).

They also formed a Covid-19 Ministerial Response Coordinating Committees on Health, Transport, Finance and Agriculture to respond to the various factors surrounding the Coronavirus pandemic.

The Bureau of Heads of State of the African Union also formulated a continental strategy to better prepare and respond to any new cases of the virus on the continent.

The meeting also shared experimental drugs on the deadly virus, vaccines and clinical trials that have kicked off around the world.


---------------------------------------------------------------------------



Kuna document flani nilikua naitafuta ambayo inaonyesha kabia KEMRI wakiongelea kuhusu ku test hio dawa,....

Na mbali na hapo, hata sisi Kenya pia tuna test dawa flani ya mitishamba ambayo tushawahi kutumia kutibu malaria



---------------------------------------------------------------------------


According to a presentation made by Kemri Director-General Yeri Kombe to the National Assembly Health Committee, Kemri has been approved by the government as the reference centre for testing efficacy of potential Traditional Medicines/Drugs for Covid-19.

“Kemri has commenced exploring efficacy of its in-house product (Zedupex) and other natural products against Covid-19,” Prof Kombe said.
It took Dr Festus Tolo, Deputy Director at the institute's Natural Products Research and Drug Development Research Programme, and other two scientists 10 years to develop the product.
Zedupex is sold in small-scale through the institute's production department. The researchers will be working in the laboratory to test the activity and safety of the compound on Covid-19 treatment.
The trials are being carried out at Kemri's laboratory. The drug has not been administered to any coronavirus patient.
But as Kenya tries to explore the treatment of the virus with traditional medicines, the African Union said it will now start testing the controversial herbal remedy for Covid-19 from Madagascar.

Kemri tests efficacy of herbal drug in virus war
------------------------------------------------------------------------------



Alafu KEMRI nayo ilikua nominated na AU kukua center of exellence kwa matibabu ya Corona in Africa which includes testing various treatments and vaccine which obviously include the madagascar drug.










---------------------------------------------------------


So kwa mara nyengine, heby nieleze ni jinsi gani Kenya ni Hypocrite kwa hili jambo?
 
Geza Ulole uliitisha evidence ukapewa Sasa mbona kuhepa uzi wako?😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…