Heshima kwenu wadau..
Kuna appartment inapangishwa ubungo external near mabibo hostel and ubungo export processing zone.
Nyumba ni nzuri kwa bachelor maana ni Chumba master na sebule yake + ka jiko ka kiana
ipo fenced ndani ya gate na sehem salama kabisa ya kupak gari ndogo
Kuna umeme na Maji ( dawasco)
Bei ni 150,000 kwa mwezi na Kodi ni miezi 6.
Wote mnakaribishwa..
Mwenye nia anaweza akawasiliana na mwenye nyumba namba 0658 000106 kwa ajili ya maelezo zaidi