M mbuki eliud New Member Joined Jan 17, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Feb 25, 2013 #1 Jaman nauliza...? watu 2lioappeal loan board mbona majibu me cjayapata mpaka leo hii naombeni msaada wenu:amen:
Jaman nauliza...? watu 2lioappeal loan board mbona majibu me cjayapata mpaka leo hii naombeni msaada wenu:amen:
ashy da don JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 615 Reaction score 670 Feb 25, 2013 #2 mkuu majina yashatoka kama up ud wamebandka tayar nenda ofis za afisa mikopo majina yapo hapo.kwa vyuo vngine nahis pia yashapelekwa fuatlia vizur kwenye chuo chako..
mkuu majina yashatoka kama up ud wamebandka tayar nenda ofis za afisa mikopo majina yapo hapo.kwa vyuo vngine nahis pia yashapelekwa fuatlia vizur kwenye chuo chako..