Appiah: Huku ni kuua soka

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,804
Reaction score
10,715

Chanzo: Mwananchi

Mimi naufananisha huu uchakachuaji wa CECAFA na zile TUZO za kibongo bongo ambapo kipa aliyenyykwa magoli mengi alipata zawadi ya kipa bora. Nahisi CECAFA imeweka wabongo kwenye kitengo hiki.

Aibu yetu.
 
Kuna mtu anaitwa Musonye hapo Cecafa Mkuu, yaani huyo ana fitina kuliko wabongo.. Yaani yeye ndo analiendesha shirikisho kama lake na ndo anaesababisha mashindano haya yanazidi kupoteza mvuto na ubora wake..!
 
Cecafa njaa tu. Hata mshindi wa 3 Mbeya city alitaka kutoswa iingie Simba, baada ya malalamiko ya wadau wakazitosa zote.
 
Musonye ameondoa radha ya mashindano mwaka huu, mashindano ya ukanda wa Afrika mashariki, lakini hakuna hata tv station hata mmoja miongoni mwa nchi hizo, zinazonyesha live! Aibu hii kwa ukanda wetu!
 
CECAFA itafufuka Musonye akiondolewa!
Kwanza wa scale down idadi ya timu. Club Bingwa tu ndiyo washiriki.
Ratiba izingatie ligi za kila nchi.
 
Haya mashindano siku hizi hayana tofauti na bonanza ndiyo maana timu makini kama el merrek na el hilal zimechomoa kushiriki
 
Mkuu Kwa nn hushangai messi kuwa mchezaji bora copa america akiwa amefunga bao 1 wkt kipa wa Chile akiwa shujaa Zaidi ya mechi 2?????ktk soka huo uozo upo dunia nzima
 
Mkuu Kwa nn hushangai messi kuwa mchezaji bora copa america akiwa amefunga bao 1 wkt kipa wa Chile akiwa shujaa Zaidi ya mechi 2?????ktk soka huo uozo upo dunia nzima

Ilikuwa world Cup mkuu, na wadau mbalimbali walilaani sana hicho kitendo.
 
Huyo Appiah alitakaje? asilazimishe mchezaji atoke timu yake wakati watu wanapambana au alitaka aliyefunga penati 2 zile ndo awe mchezaji bora
 
Musonye ameondoa radha ya mashindano mwaka huu, mashindano ya ukanda wa Afrika mashariki, lakini hakuna hata tv station hata mmoja miongoni mwa nchi hizo, zinazonyesha live! Aibu hii kwa ukanda wetu!

mkuu super spoti mbona Mimi naona kila mechi! au unaongelea local stations
 
Ni local stations ndio. Asilimia ngapi ya wa tz wanao angalia kupitia super sport, na ni asilimia ngapi wangeyaona kama tv zetu za nyumbani zingekua zinayoonyesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…