apple cider vinegar

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
133
Reaction score
27
ni nini hii? inapatikana maduka gani kwa hapa dar es salaam?
 
ni nini hii? inapatikana maduka gani kwa hapa dar es salaam?
nenda supermarket; mlimani city nk. ina maana hujui ni nini? sasa waitafuta ya nini?? jf kunavituko jamani
 
ni nini hii? inapatikana maduka gani kwa hapa dar es salaam?

inapatikana kwenye supermarkets.......ulikuwa unaitaka ya nini?......ili kama kuna mbadala tukusaidie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…