Apple Event 2023 ilifanyika jana, ni yapi maoni yako?!

Apple Event 2023 ilifanyika jana, ni yapi maoni yako?!

Contraband

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2021
Posts
1,036
Reaction score
2,807
Jana Apple wamezindua next generation ya iPhone na Apple Watches. Moja ya vitu nilivyopenda zaidi ni kuona wamefikia kwenye kutengeneza Carbon Neutral devices. Na kutumia material imara zaidi ulimwenguni ya titanium kwenye iPhones, ambayo yanatumika pia kutengeneza spacecraft.
 
iPhones: Hakuna kipya, kwa mwenye iPhone 13 au 14, haja ya ku-upgrade ni ndogo.

Watches: Kikubwa labda double tap gesture, ambayo unaweza ishi bila iyo, vingine ni kama generation iliopita.

Kama pesa sio tatizo, worthy upgrade ila kama unataka innovation, ku-upgrade iPhone ni kika after 3 years.

The rest tusubiri reviews za wataalamu.
 
Back
Top Bottom