INAUZWA Apple imac all in one nch 24 wide inauzwa 380000

Joined
Dec 31, 2020
Posts
91
Reaction score
134
Habari waheshimiwa

Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi)
sifa zake

Hdd 500gb
ram 2gb (inaongezwa)
nch 24 wide
processor 2.8ghz
core 2 duo
graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256 MB
zinasoma DvD NA CD za aina zote

Napatikana KARIAKOO mt uhuru na MACHINGA COMPLEX floor 4
call/whatsapp 0714689280

Pia tuna desktop zingine za aina zote
MIKOANI TUNATUMA MALIPO BAADA YA KUPOKEA ( vigezo na mashart kuzingatiwa).

WhatsApp Image 2021-02-04 at 15.10.05 (1).jpeg
WhatsApp Image 2021-02-04 at 15.10.05.jpeg

ZIMEISHA WAHESHIMIWA ...ZIMEISHA HAKUNA TENA
 
All in one brand ya Dell au acer unayo?
 
All in one brand ya Dell au acer unayo?
ukiitaji unapata mana nyingi zinatoka ng'ambo so ukija pale ndani ya masaa 2 inafika izo mara nyingi tunauza lak 5 na nusu za corei5 ram 4gb hdd 500gb mda mngine i7
 
Ng'ambo wapi ambako ndani ya masaa mawili mzigo unakua umefika?

Brand hizo nilizokutajia hapo ofisin kwenu zipo au hazipo?
 
zanzbar boss hp dell/accer saiv amna ila zipo tu apple napo tunauza kwa bei ndogo mana wanaoweza kutumia izi ni wachache ukilionganisha na izi za kawaida
 
Hp sizitaki kuna moja nilinunua mwaka jana Hp Pro ila ilikua inazingua harddisk yaani hata ukiweka disc mpya baada ya siku kadhaa tu inaandika "operating system not found" na hard disk habari yake inakua imeishia hapo
 
oh ok saiv amna kuna watu wengine wanazo unaweza wachek apa kariakoo
 
Habari waheshimiwa

Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi)
sifa zake

Hdd 500gb
ram 2gb (inaongezwa)
nch 24 wide
processor 2.8ghz
core 2 duo
graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256 MB
zinasoma DvD NA CD za aina zote

Napatikana KARIAKOO mt uhuru na MACHINGA COMPLEX floor 4
call/whatsapp 0714689280

Pia tuna desktop zingine za aina zote
MIKOANI TUNATUMA MALIPO BAADA YA KUPOKEA ( vigezo na mashart kuzingatiwa).

View attachment 1697456View attachment 1697457

Hauna core 5 kama unayo naomba nifahamu ni ya mwaka gan?
 
Hiko kioo cha apple tu kinaenda shilling ngap
 
Back
Top Bottom