sanga kariakoo
Member
- Dec 31, 2020
- 91
- 134
apana mimi sina ila km uko dsm ukihangaika unapata japo bei ndo balaa mana wachache wanazo
njoo kariakooUlivosema tu MACHINGA COMPLEX mpaka moyo umeshtuka
ukiitaji unapata mana nyingi zinatoka ng'ambo so ukija pale ndani ya masaa 2 inafika izo mara nyingi tunauza lak 5 na nusu za corei5 ram 4gb hdd 500gb mda mngine i7All in one brand ya Dell au acer unayo?
Ng'ambo wapi ambako ndani ya masaa mawili mzigo unakua umefika?ukiitaji unapata mana nyingi zinatoka ng'ambo so ukija pale ndani ya masaa 2 inafika izo mara nyingi tunauza lak 5 na nusu za corei5 ram 4gb hdd 500gb mda mngine i7
zanzbar boss hp dell/accer saiv amna ila zipo tu apple napo tunauza kwa bei ndogo mana wanaoweza kutumia izi ni wachache ukilionganisha na izi za kawaidaNg'ambo wapi ambako ndani ya masaa mawili mzigo unakua umefika?
Brand hizo nilizokutajia hapo ofisin kwenu zipo au hazipo?
Hp sizitaki kuna moja nilinunua mwaka jana Hp Pro ila ilikua inazingua harddisk yaani hata ukiweka disc mpya baada ya siku kadhaa tu inaandika "operating system not found" na hard disk habari yake inakua imeishia hapozanzbar boss hp dell/accer saiv amna ila zipo tu apple napo tunauza kwa bei ndogo mana wanaoweza kutumia izi ni wachache ukilionganisha na izi za kawaida
oh ok saiv amna kuna watu wengine wanazo unaweza wachek apa kariakooHp sizitaki kuna moja nilinunua mwaka jana Hp Pro ila ilikua inazingua harddisk yaani hata ukiweka disc mpya baada ya siku kadhaa tu inaandika "operating system not found" na hard disk habari yake inakua imeishia hapo
yes380k?
Habari waheshimiwa
Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi)
sifa zake
Hdd 500gb
ram 2gb (inaongezwa)
nch 24 wide
processor 2.8ghz
core 2 duo
graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256 MB
zinasoma DvD NA CD za aina zote
Napatikana KARIAKOO mt uhuru na MACHINGA COMPLEX floor 4
call/whatsapp 0714689280
Pia tuna desktop zingine za aina zote
MIKOANI TUNATUMA MALIPO BAADA YA KUPOKEA ( vigezo na mashart kuzingatiwa).
View attachment 1697456View attachment 1697457
Nijuavyo mimi kwa sifa ya hiyo brand hata mbovu hupati kwa hiyo bei380k?
Mkuu unabishana na muuzaji.Nijuavyo mimi kwa sifa ya hiyo brand hata mbovu hupati kwa hiyo bei
Mkuu unabishana na muuzaji.Nijuavyo mimi kwa sifa ya hiyo brand hata mbovu hupati kwa hiyo bei