sheby blogger
Member
- Dec 18, 2017
- 23
- 22
Hapo stationery mnataka kuitumia kwa kazi gani?Wadau naomba msaada kidgo kujua kama, kompyuta za apple znaweza kufaa kutumika katika kazi za stationary bila kuleta matatizo au usumbufu wowote? Maana nlitaka kununua kuna jamaa yangu akaniambia mizigo ya apple huwa ni utumwa au wenyewe wanaita ni gereza la kifahari, nikaona sio mbaya nije kuomba ushauri huku kabla nisije kujichanganya.
inshort haifai tafuta kitu cha Hp Or Dell Acha mambo ya Apple mzeeSwali zuri, hata mimi mda tuu nilikua natamani kupata jibu, Wadau nao naona badala watoe Majibu ya inafaa au haifai technically, wanasuguria kunguni
Mkuu tafuta HP,Dell achana na apple Imac. sitaisahau ilichonifanyiaWadau naomba msaada kidgo kujua kama,
Kompyuta za apple znaweza kufaa kutumika katika kazi za stationary bila kuleta matatizo au usumbufu wowote? Maana nlitaka kununua kuna jamaa yangu akaniambia mizigo ya apple huwa ni utumwa au wenyewe wanaita ni gereza la kifahari.
Nikaona sio mbaya nije kuomba ushauri huku kabla nisije kujichanganya.