Apple iMac huwa zinafaa kwa shughuli za stationary?

I5 8th gen machine nzuri mkuu, itafanya shughuli zote mpaka kubwa.

Angalia tu na size ya powersupply kwa ajili ya upgrades za baadae.
Nishauri na aina ya Monitor ya Kuchukua Chief kwa Budget ya 300K
 
Shida ya hizi mashine ni zikicorrupt au zikiharibika zikihitaji matengenezo. Legacy support ya apps na hardware nayo ni muziki mwingine.

Also hiyo ya kwamba kwa mtu mpya atahaha nayo ni kweli kabisa, mouse yake tu anaweza akaiona ishu.
 
Nishauri na aina ya Monitor ya Kuchukua Chief kwa Budget ya 300K
Kibongo bongo ngumu kupata mpya, ila monitor most of time hazisumbui.

Tafuta HP angalau Full HD (1920x1080) inch 24, iwe na port za kisasa Display port na HDMI.

Si lazima iwe hp, dell, lenovo na wengine pia wanafaa, nimerecomend tu hp sababu ya ku match na desktop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…