baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Sep 24, 2013 #1 Habari yenu ndugu zangu, nna ipad 2 hiyo ni mpya kabisa na inakwenda kwa bei ya 450,000/= Specification zake tafadhali pitia hapa: Apple - iPad - View all the technical specifications. Rangi ni nyeusi na ina charger yake na leather cover yake nyeusi. Bidhaa ipo dar Bei ni TZS 450,000/= Tuwasiliane kupitia 0689658811 au ni-pm Photo Credit: Apple,
Habari yenu ndugu zangu, nna ipad 2 hiyo ni mpya kabisa na inakwenda kwa bei ya 450,000/= Specification zake tafadhali pitia hapa: Apple - iPad - View all the technical specifications. Rangi ni nyeusi na ina charger yake na leather cover yake nyeusi. Bidhaa ipo dar Bei ni TZS 450,000/= Tuwasiliane kupitia 0689658811 au ni-pm Photo Credit: Apple,
mkalenda JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 290 Reaction score 23 Sep 25, 2013 #2 Hauna Mkuu yenye 3g
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,335 Sep 26, 2013 #3 mchina hizo ata marekan apple ipad 2 uwezi pata kwa 450,000. muwe waangalifu wanunuaji
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Sep 30, 2013 Thread starter #4 Money Stunna said: mchina hizo ata marekan apple ipad 2 uwezi pata kwa 450,000. muwe waangalifu wanunuaji Click to expand... Kumbe na wewe ni lopolopo. Shabashiiii
Money Stunna said: mchina hizo ata marekan apple ipad 2 uwezi pata kwa 450,000. muwe waangalifu wanunuaji Click to expand... Kumbe na wewe ni lopolopo. Shabashiiii