Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS.
Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha download kilichowekwa ndani ya miezi 12 nazo zitakuwa kwenye hatari ya kuondolewa kwenye duka la app.
Kwa miaka 6, apple imeondoa zaidi ya app milion 2.6 kwenye duka appstore ambazo inadai hazikukidhi vigezo.