Ndio maanake umeme ni nishati muhimu sana hapa duniani!Huko mbele inaonekana magari yote yatakuwa yanatumia umeme.
Ngoja tusubiri tuone kama gari hilo litakuwa na ubora ili washindani na TeslaApple akiboresha mfumo WA self driving anaweza akawin, maana huu mfumo kwenye gari za Tesla hauna ufanisi.
Juzi Kati CNN walijaribu kuendesha gari Tesla Kwa kuruhusu autonomous feature, dereva alilazimika kulidhibiti gari mara Kwa mara maana gari linashindwa kutambua object ya karibu Kwa haraka Kwa sababu Tesla haitumii radar wameweka sensor nyingine tofauti ni kamera nadhani.
Usifikiri TESLA wajinga ku launch starlink internet. Wanataka walau waweze kudhibiti kila hali wao wenyewe.Apple akiboresha mfumo WA self driving anaweza akawin, maana huu mfumo kwenye gari za Tesla hauna ufanisi.
Juzi Kati CNN walijaribu kuendesha gari Tesla Kwa kuruhusu autonomous feature, dereva alilazimika kulidhibiti gari mara Kwa mara maana gari linashindwa kutambua object ya karibu Kwa haraka Kwa sababu Tesla haitumii radar wameweka sensor nyingine tofauti ni kamera nadhani.
Mzee, kuna sehemu nimesema Tesla ni wajinga ku-launch starlink. Sijazungumzia starlink.Usifikiri TESLA wajinga ku launch starlink internet. Wanataka walau waweze kudhibiti kila hali wao wenyewe.
Shida ni kuwa wanategemea mifumo ya mawasiliano ya wengine ambayo hawana udhibiti wake.
Apple nao watakutana na changamoto hizo hizo na watakuwa wamezidiwa na Tesla kwa uzoefu, wao ndio kwanza wataanza kugundua changamoto na kuanza kuzitatua huku Tesla wakiwa tayari wanajua cha kufanya.
Hii teknolojua ni infant tech bado ina safari ndefu sana.
Mifumo mingi sana italazimika kuja kubadirishwa ili kuendana na hayo magari mfano trafic system, roads nk.
Hata hivyo tafiti zilixofznywa zinaonesha hakutakuwa na fulk automation dereva bado atakuwa na nafasi yake.