Apple Mac mini m1 inahitajika haraka

Apple Mac mini m1 inahitajika haraka

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses and roses....

Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe.

images (46).jpeg

Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED

Ahsante
 
Elite digital, istore, Tech360 wacheki hao.

Elite naona wameilist ila hawaeki bei kila kitu wanataka wapigiwe simu.

Angalia bei zao kama ni kubwa sana bora uagizishie tu,
 
Thanks mkuu
 
Hello bosses and roses....

Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe.

View attachment 2636372

Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED

Ahsante
Check Apple Store Mlimani au mcheki huyu jamaa 0658233903, anaitwa Chiragi. Kama hana atakuagizia utaipata ndani ya simu mbili au tatu, na bei zake ni reasonable sana.
 
Thanks
 
Back
Top Bottom