kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Cc Chief-MkwawaHello bosses and roses....
Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe.
View attachment 2636372
Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED
Ahsante
Thanks mkuuElite digital, istore, Tech360 wacheki hao.
Elite naona wameilist ila hawaeki bei kila kitu wanataka wapigiwe simu.
Angalia bei zao kama ni kubwa sana bora uagizishie tu,
Check Apple Store Mlimani au mcheki huyu jamaa 0658233903, anaitwa Chiragi. Kama hana atakuagizia utaipata ndani ya simu mbili au tatu, na bei zake ni reasonable sana.Hello bosses and roses....
Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe.
View attachment 2636372
Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED
Ahsante
ThanksCheck Apple Store Mlimani au mcheki huyu jamaa 0658233903, anaitwa Chiragi. Kama hana atakuagizia utaipata ndani ya simu mbili au tatu, na bei zake ni reasonable sana.