Apple market cap falls below $2T; Fab 5 shed $900B in two days

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Thamani ya hisa za makampuni hasa tech companies zimeanguka kwa asilimia kubwa kuanzia juzi. Megacaps kuanzia jana na leo imepoteza thamani ya dola milioni 900!

Hii ni mara 60 ya bajeti yetu kwa mwaka! This might be just a small correction

-----------------------------




 
Apple walivyo wajanja unafikiri watachukua muda ku-cover hiyo damage?

watatoa iphone 20 pro wataipachika camera nne wataongeza na ukubwa wa logo.

Kisha wataiuza kwa milioni tano, wale wazee wa kucheza na trending na kujidai wao ndio wanaishi high classic life round hii watauza hadi figo
 
Wanaitwa isheep, wao hata apple wakiwauzia mavi wakayaita Imavi watanunua na watatembea nayo mtaani kama ufahari.

Apple ina waumini wao, inawaambia cha kutumia na cha kununua na wao wanatii na kufuata maagizo ya bwana mkubwa Tim Cook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…