Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Specs hazina tofauti na za a 10s!Yani hizo specs ndio za 399usd? [emoji2] Hawa jamaa wamelogwa sana..ila hard fans wa tunda watanunua na watataka kuvimba vilevile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sehemu gani mkuu kwenye bei hio za trip ya mawe?Simu ndio hiyo inauzwa 800k, hapo napo ni parefu trip 12 hizo za mawe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini aligawa?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sijui hata nifanyaje,nimechoka na watu wa hivi aisee.
yupo mwingine hapa aliletewa zawadi a50,akagawa akanunua tecno[emoji3063][emoji3063][emoji3063]
Sent using Jamii Forums mobile app
hio ni on screen time?Battery drain test ya iphone SE(2020) by MrWhosetheboss @chiefmkwawaView attachment 1432773
Samsung Galaxy[emoji93]
Yeah ni Screen time....According to Apple wameclaim a full day of battery life.hio ni on screen time?
Wanaofanya kazi za utalii ni 24hrs 7 days online mwaka mzima maana unawasiliana na agents tofauti wenye nyakati tofaut around the global ambao wenginr huhitaji majibu in short time frameBiashara gani mkuu ya umbea kushinda Instagram masaa 12?kwahiyo utakuwa online unamsubiria mteja?
Sent using IPhone X