1999s
Member
- Sep 11, 2024
- 19
- 30
Habari zenu wakuu, kama inavyosomeka katika title hapo juu, hizo ni habari za mdogo wangu ambaye ameomba mkopo kupitia bodi ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu(heslb). Swali tunalojiuliza hiyo stamp inayohitajika ni stamp ya taasisi gani. Mwenye kujua tafadhali atujuze. Asante.