application concern

manushiboy

Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
34
Reaction score
9
guys i fail 2 make application coz i graduate ths yr i dont hv transcpt then.tell me ladies and gentlemen should i use only provsion result 4 the same?
 
why not? be proactive, go ahead and do it! because YES YOU CAN!
 
guys i fail 2 make application coz i graduate ths yr i dont hv transcpt then.tell me ladies and gentlemen should i use only provsion result 4 the same?
Manushiboy serikalini kama wewe sio kamlete awataki hata kuziona hizo provisional results zako,lakini katika private Institution you have green light, go ahead.
 
guys i fail 2 make application coz i graduate ths yr i dont hv transcpt then.tell me ladies and gentlemen should i use only provsion result 4 the same?

.... na kujipatia uhakika wa kuitwa walao kwenye usaili, tafuta sehemu/ mwalimu aipige msasa hiyo lugha yako. maana kama kuandika ndo hivi ... sijui kuongea itakuwaje.
Kila la kheri !
 
Jaribu kutumia,isiwe sababu ya kukaa tu huwezi jua bahati iko wapi.
 
Kama hiyo provisional inasema ulichoandika basi kazi ipo, sitaki kusema umeandika lugha mbovu lkn nakushauri endelea kuomba tu inaweza kukusaidia
 
Hata mimi ni kama wewe natumia hiyo provisional results, ila jaribu kurekebisha "kidhungu" hicho.
 
Unaju swala la lugha ni kasumba tu. Wachina hufanya kazi hata hawajui kzungu.
Mfano ni pale Udom. wanajenga na kuwasiliaana na wabongo safi.
Ushaidi wanao waliosoma Udom na kusimama kwa majengo yalee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…