Application gani zinatoa mikopo zaidi ya Tala na Branch?

to be

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
229
Reaction score
261
Ndugu zangu habar za asbui,naombeni mnisaidie kujua application za mikopo ukiondoa Tala na branch.plz ziwe ni zile ambazo unauhakika/ushaidi kuwa kuwa zinatoa . Nawatakia asbui njema na kazi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mkopo bila riba wakikupa unikumbuke
Wakikunyima tusijuane

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni unafuu gani unaotafuta haswa? maana hakuna tofauti kubwa sana haswa ukizingitia kuna ushindani mkubwa tu.

Usikute huko umeshaharibu sasa unatafuta wengine wa kuwaliza.

Mimi huwa namalizana na Airtel timiza, wanatoa hadi boksi tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…