Barua za kibongo:
Mstari wa kwanza: YAH: MAOMBI YA KAZI
Mstari wa pili: Rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu maombi ya kazi.
Mstari wa tatu: Rejea tangazo lako la nafasi za kazi katika gazeti la...lenye kichwa cha habari Nafasi za Kazi
Mstari wa nne: Mimi ni fulani bin fulani na nawasilisha kwako maombi ya kazi .....