Application Users Vs Browser Users

Eti Mara dislike
Mara hizi emoj za kuchukia([emoji35])
Kwani made usipoipenda/comment si unaipita tu,kwani lazima kudislike

Kwa huu ushawishi eti kweli jamani tunashawishikaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mimi browser hakuna anayenishawishi kwa kweli, comment kama sijaipenda naiacha tu siyo lazima nioneshe sijaipenda.

Hivi kwanza Depal hajauona huu uzi bado, team browser yule kama namuona anavyokuja kutukejeli watumiaji wa app.
 
Alishatoa michango huko juu
Amekuja huyu jamaa Next Man amemaliza kila kitu yaani[emoji847]
Jamaa nilivyosoma tu comments zake sijaona haja ya kuendelea kuchangia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani yule kaka yetu kwenye misamiati ya lugha yuko vizuri, siyo kimalkia wala kisultan.
Yaani Hadi kiswahili chake kinatupiga chenga.
Sasa siku ile alichanganya Hilo Neno na kimalkia chake...nilienda kutafuta dikshenari za lugha zote 2..Hadi kumaliza kusoma comment yake kichwa kilikuwa kinaniuma[emoji23]

Ila huo msamiati nilicheka nusu kuzimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…