Ndio nilienda na sasa nipo poa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru Sana, natumai pia unaendelea vizuri na hospital ulienda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nilivyokuwa Mimi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi kawa mzembe sana jamani
Ulikuwa unaogopa[emoji23]Ndio nilienda na sasa nipo poa kabisa
ππππ uliona kama umepata dawa ya CoronaKama nilivyokuwa Mimi tu[emoji23]
Juzi nilijiona nimeyapatia maisha Sana yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Kweli niko poaUlikuwa unaogopa[emoji23]
Hembu sindikizia na kapicha ili tuone Kama kweli uko poa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7]Hahah! Kweli niko poa View attachment 1429970
Toa basi hiyo barakoa [emoji3]Hahah! Kweli niko poa View attachment 1429970
Nilijiona Rais wa Madagascar yaani[emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliona kama umepata dawa ya Corona
Toa kidogo Basi tuone.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka nipate Corona sio?
Ngoja aje hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi hapa wewe[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Juzi Cole katoa baraka akapitwa tena [emoji3]
Nilikuona jana kule ulikuja kuiba picha
Good morning