carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Kwamba nilikupa yale ma hug na ma kiss ya bure??[emoji23][emoji23][emoji23]Eti carbamazepine hukuona?
Unazungumzia ile ya juzi?Hakuona
Hadi inafutwa alikuwa kule juu anahangaika na comments nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii uber na mimi naitaka,inarudi sangap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka nipate Corona sio?
Picha ya nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi Cole katoa baraka akapitwa tena [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba nilikupa yale ma hug na ma kiss ya bure??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuona niliona na nilizoom pia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unazungumzia ile ya juzi?
Sijawahi kuwa mzembe hivyo mimi[emoji23]
sjawah kuielewa browser hasa kwny kusoma comments kwa mfumo wa pages .....yaan hata notifications zlivokaa kaa huwa sielew kabisaOopsss! you have to accept cookies so as to continue......
Unataka kum quote mtu ghafla unajikuta minazini chini ukoo, unarudi juu ghafla keyboard ya cm inaziba huoni, umetoka nje ya Jf ghafla mameseji kibaoo kutoka site tofauti tofauti mara oohh I love u, mara I want a friendship with u, mpk urudi tena kwny browser u deny cookies.
Aahh weee bado hujanishawishi kuacha kutumia app labda nkiwa natumia PC ndo huwa cna ujanja lazima nitumie browser.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani!
Huyu Mndali mbishi sana yani anakuchukulia wewe mzembe
#ulizoomkuonanini?
Mtoa mada tuongeze sauti ama inatosha?Oopsss! you have to accept cookies so as to continue......
Unataka kum quote mtu ghafla unajikuta minazini chini ukoo, unarudi juu ghafla keyboard ya cm inaziba huoni, umetoka nje ya Jf ghafla mameseji kibaoo kutoka site tofauti tofauti mara oohh I love u, mara I want a friendship with u, mpk urudi tena kwny browser u deny cookies.
Aahh weee bado hujanishawishi kuacha kutumia app labda nkiwa natumia PC ndo huwa cna ujanja lazima nitumie browser.
Woyooooooo [emoji3526]Oopsss! you have to accept cookies so as to continue......
Unataka kum quote mtu ghafla unajikuta minazini chini ukoo, unarudi juu ghafla keyboard ya cm inaziba huoni, umetoka nje ya Jf ghafla mameseji kibaoo kutoka site tofauti tofauti mara oohh I love u, mara I want a friendship with u, mpk urudi tena kwny browser u deny cookies.
Aahh weee bado hujanishawishi kuacha kutumia app labda nkiwa natumia PC ndo huwa cna ujanja lazima nitumie browser.
Ila ya "maji"?Eti ile ya glass
G/morning!
Ananichukulia poa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani!