Application Users Vs Browser Users

halafu hiyo kitu inaitwa notification.labda tuwe tunataja na aina za simu,huenda zinachangia malalamiko,sasa davet.na saint ane mnachangia na najulishwa muda huo huo tena kwa kelele nyingi na natumia app au niliandika jana?
 
Hahah! Nimeona vile mmewakilisha yani leo mchana nilikuwa nacheka mwenyewe humu....

Pia nisipokuwa hapa nawakumbuka sana, itabidi niwafungulie group la WhatsApp 😂😂
 
Hahah! Nimeona vile mmewakilisha yani leo mchana nilikuwa nacheka mwenyewe humu....

Pia nisipokuwa hapa nawakumbuka sana, itabidi niwafungulie group la WhatsApp [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule siku hizi ananiona mimi comedian
Mara anitanie navaa magauni ya Yesu Ni mwamba.
Hili kundi lilishakamilika tayari,tuko watatu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu hiyo kitu inaitwa notification.labda tuwe tunataja na aina za simu,huenda zinachangia malalamiko,sasa davet.na saint ane mnachangia na najulishwa muda huo huo tena kwa kelele nyingi na natumia app au niliandika jana?
Notifications nasikia zimerudi siku sio nyingi

Hahah! Halafu Mkuu una masihara na simu ya St Anne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…