Ndugu wanajamii forum naomba kujuzwa kama application mafunzo (CERTIFICATE OF NURSING AND MIDWIFE) Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii zimeshaanza kwan niliambiwa zinaanza mwez Januari lakini mpaka sasa hakuna tangazo lolote kwenye website yao wala magazeti.
Msaada wenu plz.
Jaribu kufuatilia mtu wa wizarani maana matangazo wakati mwingine hubandika huko.
Wanatakiwa watu wenye sifa zipi maana nina dogo amepata d zote isipokuwa math ana f, je anaweza kwenda unesi?
Naomba msaada kwa kaka langu amepata 4 ya 33 kafauru Bio na civic je anaweza kwenda nursing?
Naomba msaada kwa kaka langu amepata 4 ya 33 kafauru Bio na civic je anaweza kwenda nursing?
Hawajatoa tangazo tangazo lolote kuhusiana na hizo kozi za afya. Endele kufuatilia kwenye mtandao wa wizara hilo tangazo huwa linawekwa mara tu wanapoanza kupokea maombi. Usikate tamaaa. Muda ndio unakaribia. Na nitaliweka hapa kwenye jamvi pia hilo tangazo likitoka so stay tuned mkuu.
nijuavyo mimi mwisho div 4 ya 28 kama upolisi lakini at least iwe na pass ya any science subject