Application ya GePG Tanzania haifanyi kazi upande wa kulipia kodi ya Ardhi?

Application ya GePG Tanzania haifanyi kazi upande wa kulipia kodi ya Ardhi?

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
6,585
Reaction score
10,363
Wakuu,

Hii application ya GePG imekua ni kero kubwa sana kwa watumiaji wanaotaka kulipa bills mbalimbali, kama unaifuatilia playstore ukisoma comments utaona criticisms ni nyingi kuliko appreciations nimejaribu mara kadhaa kutaka kulipia kodi ya ardhi lakini kila nkiweka details inaleta notification "BAD REQUEST" na nnahakiki vizuri details lakini bado inaleta hiyo notification.

Nafkiri kuna shida kwenye hii app, afu wahusika wanachukua mda mrefu kuiboresha, Kama wahusika wanapita huku walifanyie hili kazi kwa haraka sana coz wanapoteza mapato mengi sana kwa ubovu wa hii application

IMG-20240727-WA0025.jpg
 
Hii app mpaka leo ni majanga,
 
Nipeni hiyo kazi niwatengenezee, niokote hayo maokoto , Nina njaa hapa wakati ujuz huo ninao
 
Back
Top Bottom