Application ya kuniwezesha kuangalia mpira kupitia cm ya kiganjan

Application ya kuniwezesha kuangalia mpira kupitia cm ya kiganjan

badsangu

Member
Joined
Nov 1, 2017
Posts
67
Reaction score
28
Polen na kaz wadau,naomba msaada kwa yeyote anayeijua application inayoweza kuninya niangalie mpira kupitia cm ya mkonononi tafadhar msaada sitaki niikose mechi ya arsenal dhidi ya man u
 
Mobodro sijui ndiyo hiyo ila sina uhakika nimeshika kwanza nafasi ya mtu
 
Polen na kaz wadau,naomba msaada kwa yeyote anayeijua application inayoweza kuninya niangalie mpira kupitia cm ya mkonononi tafadhar msaada sitaki niikose mechi ya arsenal dhidi ya man u
1. Ingia google download app ya mobdro. Ukisha download ingia kwenye sport channel hasa hasa channel za bein sports ni uhakika utaona mechi yako pendwa.

2. Tumia youtube app yako kuna link kibao zinaonesha mechi zote za ligi mbali mbali kasoro uefa champions league tu. Cha kufanya ni kuingia youtube kisha search live arsenal vs man united. Utaona link nyingi tu chagua uipendayo. Uzuri wa youtube ni kwamba kama utaona buffering ni nyingi basi unapunguza quality ya video ili isikwame kwame.
 
Asante sana mkuu
Screenshot_2017-12-02-20-17-36.png

Kwenye youtube Chagua link ambazo ina neno live achana na zilizowekwa dakika.
 
Back
Top Bottom