Polen na kaz wadau,naomba msaada kwa yeyote anayeijua application inayoweza kuninya niangalie mpira kupitia cm ya mkonononi tafadhar msaada sitaki niikose mechi ya arsenal dhidi ya man u
1. Ingia google download app ya mobdro. Ukisha download ingia kwenye sport channel hasa hasa channel za bein sports ni uhakika utaona mechi yako pendwa.Polen na kaz wadau,naomba msaada kwa yeyote anayeijua application inayoweza kuninya niangalie mpira kupitia cm ya mkonononi tafadhar msaada sitaki niikose mechi ya arsenal dhidi ya man u
Asante sana mkuu