Application ya photos imeharibika bila sababu

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Habari Jf,

Application ya photos ya pc window 10 imeharibika bila sababu.
Naomba wenye ujuzi wa hili wanisaidie jinsi gani nitaitengeneza maana ndio ninayotumia tu.

Kama kuna application nyingine naomba mniambie ili niipakue.

Nisaidieni tafadhari.
 
Ipo ile app ya zamani ya win 7 ya kuangalizia picha.

Click picha husika Kisha right click Kisha open with Kisha tick default na chagua app ya zamani.

Alternative nenda setting Kisha system Kisha default apps chagua photos ya zamani.
 
Mkuu kuna ;
Paint,
3D paint,
Snip&sketch tu.
 
Sababu ni update.

Ingia windows store na update hiyo application then itafunguka ina mb kama 300 tu.

Applications za windows mara nyingi zikiwa outdated zinakuwa hazifunguki.
 
Sawa mkuu,

Ahsante kwa ushauri.
 
Sababu ni update.

Ingia windows store na update hiyo application then itafunguka ina mb kama 300 tu.

Applications za windows mara nyingi zikiwa outdated zinakuwa hazifunguki.
Ahsante mkuu,
Nimei update sasa inafanya kazi.
👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏
 
Back
Top Bottom