Mkuu kuna ;Ipo ile app ya zamani ya win 7 ya kuangalizia picha.
Click picha husika Kisha right click Kisha open with Kisha tick default na chagua app ya zamani.
Alternative nenda setting Kisha system Kisha default apps chagua photos ya zamani.
Ahsante mkuu,Sababu ni update.
Ingia windows store na update hiyo application then itafunguka ina mb kama 300 tu.
Applications za windows mara nyingi zikiwa outdated zinakuwa hazifunguki.