'Application' ya Simba inatia aibu ukilinganisha na hii ya mwana Msimbazi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Siku zote Watanzania tukishaona tumefikia steji fulani basi hutaki kukubali ukweli, hata leo JF app imeridhika.

Tuje kwenye app ya Simba, mara ya kwanza kuzinduliwa hii app niliona itakuja kuwa mchango mzuri kwa wapenzi wa burudani kuhusu Simba na habari zake, ila likaja na swala la kulipa ada ili kupata habari. Lakini malipo ukilipa hakuna chochote ni kama imezubaa tu na mwisho wa siku wanajisifu kukusanya pesa nyingi.

Pitapita yangu nikakuta kwenye app store ya mwana Msimbazi, aisee hii app hata hakuna malipo na habari zinakuja kwa wakati.

Hivi app ya Simba wanajisikiaje?



 
Kuna mtu atakuja na kusema ww ndio mwanamsimbazi mwenyewe.. Ulipie tangazo
 
Wasomi wote wa Cuba wameshakuelewa hasa dhamira yako, wala hawasumbuki yaani..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…