Lazima ucomfirmMkuu ukishatuma zile form 2 page ya2 na ya 5 si ndo basi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ndio nimeshaconfirm tayari wakaniambia already submittedLazima ucomfirm
Kwahyo hili form la heslb nabaki nalo tu Kama ukumbusho sio?Lazima ucomfirm
Of courseKwahyo hili form la heslb nabaki nalo tu Kama ukumbusho sio?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu kipengele cha preliminary information nikiweka document inaload tu nakuzunguka siwezi kusubmit nimebadili browser shida inakua ile ile tangu asubuhi. Naomba niambie nakwama wapiKwa mtu atakayekwama atakeyeitaji nimjazie baadhi ya vipengele then aendelee mwenyewe namkalibisha npo free wiki hii siitaji malipo mungu ashanilipa na bando alijawai kukata
MkuuMkuu kipengele cha preliminary information nikiweka document inaload tu nakuzunguka siwezi kusubmit nimebadili browser shida inakua ile ile tangu asubuhi. Naomba niambie nakwama wapiView attachment 2733795
Sawa ngoja nijaribu maana mwaka huu hali ni tete RITA wametusumbua, bodi ni kichwa kuuma. Ngoja nijaribu kuwasha VPN nitakupa mrejeshoMkuu
1. jaribu kudownload Thunder VPN kuboost network speed.
2. jaribu kuingia asubuhi au jioni.
3. Sometime system nahisi inazidiwaga inakua inaload tu
Msaada zaidi kama itaendelea kusumbua usisite kunitafuta Mkuu 0752466957Sawa ngoja nijaribu maana mwaka huu hali ni tete RITA wametusumbua, bodi ni kichwa kuuma. Ngoja nijaribu kuwasha VPN nitakupa mrejesho
Sawa mkuu tuko pamojaKwa
Msaada zaidi kama itaendelea kusumbua usisite kunitafuta Mkuu 0752466957
Cheti kikiwa certified na RITA, inabid ukachukue hard copy RITA au?1. Je cheti cha kuzaliwa umeshakituma Rita.
2. Kama umekituma wameshakiapprove na kukupa verification number.
3. Bila verification number ya cheti cha kuzaliwa kutoka RITA haivuki kwenda hatua inayofuata.
Hapana wanakutumia onlineCheti kikiwa certified na RITA, inabid ukachukue hard copy RITA au?
Nimetazama hapa kwenye site yao na sijaona hiyo verification number lakini cheti kipo na kimeandikwa certified
Mkuu bonyesha kwenye dashboard ipo upande wa kulia then chagua birth services then itafunguka birth application itaonyesha hiyo birth verification numberNimetazama hapa kwenye site yao na sijaona hiyo verification number lakini cheti kipo na kimeandikwa certified
Na kusize picture unafanyaje mkuuMkuu bonyesha kwenye dashboard ipo upande wa kulia then chagua birth services then itafunguka birth application itaonyesha hiyo birth verification number
Tafuta App ya kutengeneza passport kwenye playstore ili upate 120px kwa 150px then tafuta app ya image resizer kwa ajili ya kusize iwe 1MBNa kusize picture unafanyaje mkuu
Naamini ulisaidikaMkuu kipengele cha preliminary information nikiweka document inaload tu nakuzunguka siwezi kusubmit nimebadili browser shida inakua ile ile tangu asubuhi. Naomba niambie nakwama wapiView attachment 2733795
Ukifanikiwa nielekeze piaViongozi na vipi kuhusu picha jamani, maana picha pia mimi nashindwa kunifanya kuwa MB 1, naweza kuiweka kuwa 120 kwa 150 ila sasa kwenye size ya MB 1 ndio changamoto naomba msaada au application ya kunisaidia kufanya hivyo. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu viongozi.