Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Ukifanikiwa nielekeze pia
Na hapa pa kuweka id mbona panasumbua sanaTumia hiyo link kuresize hizo picha kwa ukubwa utakaoSimple Image Resizer, resize online images without losing quality
Simple Image Resizer is free, online and powerful image resizer. Resize your images, photos, scanned documents without losing quality and in a easy way!www.simpleimageresizer.com
Pole nafikiri ni mtandao Leo aupo vzuri jaribu jaribu Tena itakubaliNa hapa pa kuweka id mbona panasumbua sana
Hapo picha inatakiwa kuwa na ukubwa MB 1 na kushika chiniUkifanikiwa nielekeze pia
Guarantor nikiweka pdf file inasema invalid format vip nakosea nn mkuuGuarantor niliifanya toka last week haikusumbua kbs
Hapo picha inatakiwa kuwa na ukubwa MB 1 na kushika chini
Ikiwa submitted lazima ieke tiki ya kijani pembeni, ila kwenye preview tiki haina rangi na kwenye attachment ni tiki ya njanowakuu hivi form ikiwa submitted ndo inakua hivi au inakuaje.
na kama sio hivo basi mtu ambaye yakwakwe iko submitted naomba atume picha yake niweze kujua inakuaje yaan ina kua na muonekano gani.mana hapa nilipo sijui kama ipo submitted aise
View attachment 2741734
Ikiwa submitted lazima ieke tiki ya kijani pembeni, ila kwenye preview tiki haina rangi na kwenye attachment ni tiki ya njano
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Daah hata mie huku mkuu.Demographic jamani mikoa haiload kabisa.
Mie ata kutengeneza profile tu inaznguaDaah hata mie huku mkuu.
Daah yani ma IT wa HELSB ni wa hovyo kabisa.Mie ata kutengeneza profile tu inazngua
Info zingine zinakubali kusevika?.. mi nimekwama demographic info hawaleti mikoa.Kwenye education info kama mtu katokea form 4 then 6 then baada ya kuto paform ipasavyo form six akaenda diploma so now pale post after form four inatakiwa nijaze dipoma au advanced
Badili browser itakubaliInfo zingine zinakubali kusevika?.. mi nimekwama demographic info hawaleti mikoa.
nitumie browser ganiBadili browser itakubali
Opera mini, Firefox au phoenix usitumie chrome inazinguanitumie browser gani