Toka nimefanya aplication mwezi wa tano hadi sasa bado tu wameniandikia CHECK IN PROGRESS sasa sijui inachuwa muda gan kuandikiwa YES or NO kwenye program nilizochagua kama wafanyavyo kule TCU.Tulio-apply NACTE au wanye ufaham tujuzane.
Wewe una haraka gani lakini mkuu? kumbuka course uliyochagua imechaguliwa na watu wengine pia!
So unapoambiwa on progress checking, jua kwamba tunafanya comparisons na competitors wako,
jambo la msingi tu ni kwamba uwe unapitia profile yako kuangalia kama kuna mabadailiko.
Course ulizochagua kupitia Nacte kumbuka kuna wahitimu wengine wamezichagua.
Karibu sana katika elimu ya juu.