Application za vyuo kupitia TCU zinachukuwa muda gani?

'For form.6 applicants who completed 2014 the minimum entry qualification is two passes(Two D's) in A-Level with a total of 2.0 points(Under the New Grading System)--tcu Saa manake nn? kwa hyo hata DDE anaweza[/QUOTE

upo sahihi kabisa mkuuu
 
Principal ni c

ndio principle ni c na d ni pass kwa new grading system but tcu guide book inasema ivi

1. kwa old grading system (1998-2013) ili kuingia chuo ni principle 2 yaan EE =2.0

2 kwa new grading system (2014) mtahiniwa anatakiwa awe na at least 2 pass ambazo ni DD= 2.0

SO HATA nwenye DDD / DDE anaruhusiwa kufanya application
 

watachoka mapema kweli we waache tu
 
ila ku-edit sio inshu unaweza ukajikuta unakosa nafasi

yaaa ibawza kuwa hivyo bt huwezi kukosa nafasi ktka vyuo vyote.m ulivyochagua. kikubwa ni kwamba ikifika deadline ikatokea ktk kupanga umekosa kuchaguliwa basi huwa wanatia majina na list ya vyuo kadhaa ambavyo bado vina nafasi then wanakulimit uchague chui kimoja tu. pia huna haja ya kuedit kama ulivipangilia according to ua choice
 
nimekuelewa kaka, ngoja kuna jamaa kapata DDC nimshauri akanunue vocha ikikubali ntakujulisha mana km huna 2 principal inagoma kufunguka.
 
Tulienii mda badooo... Make mwisho wa application ni 31 Agst.
 
jamanii wenye DD mbili 'new grade' wanaruhusiwa kuapply degree tcu manake iyo ni four

acheni hizo bhana,ukianza kusoma kitabu cha tcu mwanzoni kuna conversion ya grades,D (2013)=C (2014),and principle this year ni C
 
soma guide book vzuri. hakuna haja ya kufanya debates... kama principal ni D or C tutajua mwezi wa 9
 
He Mimi nilieangukia pua kwa kisw D Eng D Hist D name GS F Nina changu kweli kwenye Education?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…