Apply for Ordinary Diploma Studies.

Joined
Sep 15, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Mineral Resources Institute(MRI) ikisaidiwa na Wizara ya Nishati na Madini imetoa nafasi za masomo kwa wanaotaka kusoma kozi ngazi ya stashada yani Diploma in Petroleum Geosciences na Environmental Engineering and Management in Mines.
Fomu za maombi zinapatikana makao makuu ya wizara ya nishati na madini pia kwenye tovuti www.mri.ac.tz mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21/09/2012.Maelezo zaidi yapo kwenye tovuti na gazeti la Mwananchi la tarehe 14/09/2012.
KILA LA HERI!!!
 
Hvi na wao huwa wanapewa bumu na bodi au?
 
Ndio watakaofanikiwa kuchaguliwa watadhaminiwa na wizara ya nishati na madini. ( FULLY SPONSORED BY THE MINISTRY OF ENERGY & MINERALS ).

mbona kwenye web yao cjaona mahali waliposema kuwa watapewa sponsership na wizara mkuu?
 
mbona kwenye web yao cjaona mahali waliposema kuwa watapewa sponsership na wizara mkuu?

Kwenye gazeti wameandika hizo kozi zinadhaminiwa na wizara ya nishati na madini.Habari ulizosoma kwenye tovuti zinaweza kuwa hazijajitosheleza lakini utakapopata fomu za kujiunga zitakueleza kozi husika zinadhaminiwa na serikali yani under "GORVERNMENT SPONSERSHIP"..Kila la heri!!!
 
Dah!wakuu cjui cna bahati hata celewi ngeomba mchango wenu
-ofcoz nshachelewa kufanya applction kwa takriban cku 3 sasa!je naweza fanya mchakato wowote nkakabdh hzo form za applction?hyo k2 itaezekana kweli??plz help on ths
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…