Appodeal kumaliza usumbufu wa Admob ads na facebook ads

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,033
Reaction score
723
Wadau. Kama wewe ni developer au unamiliki application nafikiri utakuwa unasumbuka sana na tatizo la ama kupata matangazo ya facebook au admob. hata kama yakipatikan ni nadra sana kudumu kwa muda mrefu. mengi yanakuwa blocked .

sasa hapa Appodeal wamekuja na suruhu ambapo wao ukijiunga nao unapata platform ya ads network zote duniani na cpc au ecpm inakuwa mara mbili ya ile ya admob au facebook. wao wanakuwekea mpaka yale ya amazon nk.

unaweza kusoma vema katika website yao hii.

mfano wa app iliyoweka appodeal ads badala ya facebook na admob hii hapa


kama wewe ni developer changamkia hii fursa
 


Binafsi nawaona Appodeal kama madalali tu. maana kama uko disabled na google au facebook hawakubali kujiunga nao. lakini pia wale watoa huduma wengine wapo kama hawapo chini ya appodeal . wao hasa target ni fb na google tu .

japo sijawatumia licha ya kuelezwa kuwa wanalipa vizuri lakini mitandao inawaoneha kama madalali
 


Hapana. ukitaka kuamini tazama revenue za siku utaona kuwa kwa appodeal ni mara mbili ya network nyinginezo
 
Asee mkuu samahan naomba kujua hivi facebook nao wanausumbufu wa kufunga accounts kama admob???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…