Appreciation: Poleni na Hongera sana JF Moderators

Mkuu, tunaomba uthibitishe haya uliyoyasema. Vinginevyo tutachukulia kama mtu mwenye nia ya kuharibu brand ya JamiiForums kama taasisi na kumchafua Mwanzilishi wa JamiiForums mbele ya Jamii na Jumuia za Kimataifa.

Tuomba Uthibitishe hao Moderators walioletwa kutoka kitengo ili kuchukua Identity za Watu. Kama utashindwa kuthibitisha, uachie uhuru Sheria za JamiiForums zichukue Mkondo wake.

Sheria uliyovunja ipo hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...mwongozo-wa-ushiriki-kwenye-mijadala.1753332/

Pili, tutajie hizo nyuzi unazodai zinakosoa Serikali au CCM kupotezwa. Mfano hii thread inasifia Serikali? Ina muda gani na kwanini haipotezwi, au michango ndani yake kwanini haipotezwi. Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea







Tunasubiri Majibu yako.

Karibu.
 
Mi nina lengo langu kubwa, nataka niwapige BAN moderators wote pamoja na mmiliki
 
Kwani miaka yote wamekuwa hawafanyi kazi unayowasifia?
 
Kwani miaka yote wamekuwa hawafanyi kazi unayowasifia?

Mkuu penye red pana husika kwanini kuwasifia mabwana hawa sasa ni muda muafaka:



Wimbi la wapotoshaji hawa halikuwa na ari, nguvu wala kasi mpya kama liliyo nayo sasa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…