Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Uzi huuwa kirafiki ni mahsusi kwa kuwsshukuru ama kutambua umuhimu wa members wenzetu hapa JF. Mshukuru ama tambua umuhimu wa member yeyote kwa kumtag.
Kushukuru ni jambo la kiungwana.
Ninatambua umuhimu wa members hawa ninaowataja kwa kuwa good friends na kutenga muda wao kusoma kila post ninayoiweka jukwaani. Nimekuwa napata likes zao kwa wingi na kuongeza reputation yangu JF
raraa reree
Extrovert
Wakuu nawaombea heri na afya tele.