Gatcha πUzi huuwa kirafiki ni mahsusi kwa kuwsshukuru ama kutambua umuhimu wa members wenzetu hapa JF. Mshukuru ama tambua umuhimu wa member yeyote kwa kumtag.
Kushukuru ni jambo la kiungwana.
Ninatambua umuhimu wa members hawa ninaowataja kwa kuwa good friends na kutenga muda wao kusoma kila post ninayoiweka jukwaani. Nimekuwa napata likes zao kwa wingi na kuongeza reputation yangu JF
raraa reree
Extrovert
Wakuu nawaombea heri na afya tele.
Huna baya mkulungwaEbhana mimi najisikia hadi aibu muda mwingine inabidi niingie kwenye post zao nitoe likes ila
Extrovert na raraa reree hawa jamaa sijafika hata robo ya likes wanazonipa nipende kuwashukuru pia maana si kwa kuwalazimisha bali wao wenyewe maamuzi yao labda na kuelewa ninachoandika. SHUKRANI SANA WAKUU
Pamoja sanaUzi huuwa kirafiki ni mahsusi kwa kuwsshukuru ama kutambua umuhimu wa members wenzetu hapa JF. Mshukuru ama tambua umuhimu wa member yeyote kwa kumtag.
Kushukuru ni jambo la kiungwana.
Ninatambua umuhimu wa members hawa ninaowataja kwa kuwa good friends na kutenga muda wao kusoma kila post ninayoiweka jukwaani. Nimekuwa napata likes zao kwa wingi na kuongeza reputation yangu JF
raraa reree
Extrovert
Wakuu nawaombea heri na afya tele.
Umemsahau mkwepu jr mzee wa kulikeUzi huuwa kirafiki ni mahsusi kwa kuwsshukuru ama kutambua umuhimu wa members wenzetu hapa JF. Mshukuru ama tambua umuhimu wa member yeyote kwa kumtag.
Kushukuru ni jambo la kiungwana.
Ninatambua umuhimu wa members hawa ninaowataja kwa kuwa good friends na kutenga muda wao kusoma kila post ninayoiweka jukwaani. Nimekuwa napata likes zao kwa wingi na kuongeza reputation yangu JF
raraa reree
Extrovert
Wakuu nawaombea heri na afya tele.
Kwani huwezi kuwatoa huko mkuu?Japo uzi umekaa kichit chat... sina wa kumtag lakini nawashukuru members wote humu
Nipo hivi nilivyo sababu yenu
Hata wale members 16 waliopo kwenye ignore list bado nawakumbuka,japo sikumbuki mlinifanya nini hadi nikawaweka huko...nawapenda ivo ivo
Huna baya mkuu πGatcha π
Hakuna haja ya kuwa na baya na mtu sis πHuna baya mkuu π
Kweli kabisa and for what..πHakuna haja ya kuwa na baya na mtu sis π