bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Rais alikuwa na lengo zuri tu kwa watumishi la kuwapandisha Madaraja lakini kazi hiyo haijakamilika kwa baadhi ya wilaya hadi July hii.
Taarifa za uhakika zinasema wilaya za mkoa wa Shinyanga kama Ushetu, Shinyanga DC, Kishapu bado Kuna malalamiko mengi.
Approval hao wasifanye watumishi waichukie serikali yao. Wasifanye pawepo chuki dhidi ya Serikali.
Mikoa mengine tangu June 2024 watumishi walishapata Madaraja yanayostahili.
PIA SOMA
- DOKEZO - Watumishi wa Umma zaidi ya 80% hawajapandishwa madaraja ndani ya mwaka wa fedha 2023/2024 unaoisha. Hii ni dhulma kubwa