Wajanja tulioona maajabu katikati ya miguu ya Aziz Ki mechi ya kwanza tu akiwa na Yanga tunatabasamu kwamba tuliiona kesho.Wiki iliyopita, APR FC🇷🇼 iliuliza kiasi cha fedha ambacho Yanga SC🇹🇿 wanaweza kupokea kwa ajili ya kumuachilia Stephane Aziz Ki🇧🇫 anayecheza eneo la kati, wakajibu kwamba watapokea si chini ya dola milioni moja ($1M) , ambayo ni zaidi ya 1,000 .000.000 Frw (Uliza kwa sarafu ya Rwanda)
So far kuna team kama 7 zote kwa aziz.
1, Wydad, Pirates, Kaizer, Sundowns, Simba, Azam, APR.
View attachment 2971397
Siyo dharau, ni mawe ndio yanaongea, Christian Ronaldo yupo Saud Arabia.hii sasa dharau. yani APR nao wamtake Azizi Ki!!
Katikati ya miguu?😳Wajanja tulioona maajabu katikati ya miguu ya Aziz Ki mechi ya kwanza tu akiwa na Yanga tunatabasamu kwamba tuliiona kesho.
Aziz ni wa kwenda EPL, huku Afrika tunamuonea tu.
Uzito umeongezeka,ule wepesi wa asec haupoWajanja tulioona maajabu katikati ya miguu ya Aziz Ki mechi ya kwanza tu akiwa na Yanga tunatabasamu kwamba tuliiona kesho.
Aziz ni wa kwenda EPL, huku Afrika tunamuonea tu.
Lakini ndio tegemeo la timu, na kila goli linalopatikana kuna mchango wake mkubwa.Uzito umeongezeka,ule wepesi wa asec haupo
Apunguze chips kukuLakini ndio tegemeo la timu, na kila goli linalopatikana kuna mchango wake mkubwa.
Yanga haina tumaini la ushindi bila Aziz Ki.